Msanii Bebe Cool toka nchini Uganda amesema hawezi sahau siku alipokutana na mzee mandela maana kwake ilikuwa ni siku kubwa sana baada ya kuonana na kiongozi uyo mkubwa wa Africa na kushikana nae mkono London wakati wa sherehe za kutimiza Miaka 90.Bebe cool akiendelea kusema"Sikuamin nilipoonana na mtu uyo ambae kwangu ni muhimu sana cha kushangaza zaid Mandela alikuwa na busala na pia alikuwa mcheshi sana"Alisema Bebe Cool.
 

 
  
  

No comments:
Post a Comment