Kampuni ya mawasiliano chini Tanzania Vodacom imeibuka mshindi wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2013.Tuzo za mwajiri bora wa mwaka utolewa na chama cha Waajiri (ATE).Vodacom imetangazwa kushinda tuzo iyo iliyokuwa inawaniwa na makampuniengi.Tuzo ya mwajiri Bora ni Tuzo inayotambuliwa na shirika la kazi la umoja wa mataifa ILO ambapo katila hafla liliwakilishwa na Mkurugenzi wake Mr Guy Ryder .Mbali na Tuzo iyo Vodacom imeshinda Tuzo zingine Tano tofauti zikiwemo"
BEST LARGE ENTERPRISE,LEADERSHIP & GOVERNANCE,HUMAN RESOURCE & MANAGEMENT,WORKFORCE FOCUS & BEST PERFORAMANCE MANAGEMENT SYSTEM
PICHA:MAKAMU WA RAIS DR.MOHAMED GHALIB BILAL AKIMKABIDHI KOMBE MENEJA UHUSIANO NJE SALUM MWALIM.NYUMA NI MKURUGENZI WA CHAMA CHA WAAJIRI (ATE)MAMA ZUHURA SINARE,WENGINE KATIKA PICHA NI WAFANYAKAZI WA VODACOM.
AKIZUNGUMZA Mkurugenzi waVodacom(RENE MEZA)kasema haya"Vodacom na wateja wetu tunayofuraha kubwa kwa mala ya kwanza kutambulika na kupewa heshima kubwa tangu Kampuni ilipoanzishwa mnamo mwaka 2000"


No comments:
Post a Comment