ARIEL SHARON waziri mkuu wa israel wa zamani amefariki dunia leo baada ya kuulazwa hospital kwa Miaka 8 tangu akiwa madarakani alipougua gafla kiharusi na kupoteza kumbukumbu kwa miaka nane iliyopita mpaka leo leo kifo kilipomfika.Kabla ya kifo chake Ariel sharon akiwa kalazwaa hospital alisumbuliwa na matatizo ya viungo vyake vya mwili ikiwemo Figo.Sharon amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.


No comments:
Post a Comment