Habari Mpya :
Home » , » BREAKING NEWs:BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI

BREAKING NEWs:BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, January 9, 2014 | 1:47 AM

Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu apoapo.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania