Toka new york marekani mvua kubwa ya barafu iliyoandamana na upepo mkali imeukumba mji wa New york na maeneo jirani ya mji huo na kusababisha maeneo ya mji huo kufurika kwa mafuriko ya barafu.Upepo huo uliambatana na kimbunga kikali ulianza toka jana wamesikika wakazi wa New york wakielesea na kusema kwamba ™hatukutarajia kama itakuwa ivyi tuliona kawaida maana ni hali ya hewa tuliyoizoea ila leo imekuwa balaa zaid.
Hiki ndo haswaa kinachoendelea kwa sasa jijin apo baada ya maeneo mengi kujaa barafu ata kusababisha barabara kutopitika.Magari ya usafi yakijaribu kutoa barafu barabarani ili juruhusu barabara kutumika.


No comments:
Post a Comment