Salma khan ambae ni vyota katika tasnia ya filamu nchini India apa karibun amejikuta akiingia katika uwadui mkubwa na wanasiasa baada ya kuamua kumpigia kampeni kiongozi wa chama cha Gujarati Bwana Narendra Modi.Mpinzani wa Modi ambae pia ni kiongozi wa cha MIMI bwana Asaduddin Owaisi amesema Salman khan anafanya ivyo kuudidimiza uislam.Salman khan amejibu na kusema <Modi ni mwanasiasa hasiye na Doa siasa yake haihusiani na mambo ya Dini mkweli na mtu ambae hana kashfa yeyote.>Owaisi kamuita Salman khan msaliti wa jamii yake na ameomba watu kutoangalia Filamu zake na kuchoma moto zile walkzonazo.Baba wa Salman Khan mzee salim khan amesikaliliwa akisema kwa ukali(Je Asaduddin Owaisi ni kiongozi wa Dini ya kiislam na je Asaduddin anataka kushinda uchaguzi kupitia kumchafua Salman Khan?Alisikika akisema mzee Salim.Salman Khan ambae kwa sasa filamu yake mpya inakalibja kutoka Jina ni JAI HO mbali a Owaisi kuzuia watu wasiangalie filamu zake lakin viongozi wa MIMI wameonekana wakiknyesha Filamu iyo Mpya katika Kumbi zao za Filamu.


No comments:
Post a Comment