NI baada ya ya msanii PNC kuamua kutafuta suluhisho kati yake na meneja wake wa zamani ✪ostadhi juma na musoma✪ kwa kumuomba msamaha na kuomba aman itawale ili waendelee kufanya kazi pamoja, kilichotokea baada ya tendo Ilo meneja wake uyo ameamua kuchukua video na picha za tukio ilo na kuweka katika mtandao wa instagram kumdhalilisha msanii uyo. Kitendo icho kimelaaniwa na kila mtu hasa mashabiki wakubwa wa msanii Pnc. Hizi ni baadhi ya picha alizoziweka msanii Kitale kukemea kitendo alichofanyiwa Pnc na kigogo uyo.


No comments:
Post a Comment