Habari Mpya :
Home » , , » HIKI NDO KILICHOMKUTA MSANII LORD EYEZ UKO ARUSHA.

HIKI NDO KILICHOMKUTA MSANII LORD EYEZ UKO ARUSHA.

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, March 4, 2014 | 6:42 AM

Msanii lord Eyz amekamatwa na mpaka sasa anashikiliwa na jeshi la polisi mjinu arusha baada ya kuhusishwa na wizi wa kuvunja milango ya gari la mtu uko arusha.



baada ya tukio ilo msanii uyo ameadhibiwa na kampuni yake ya weusi kwa kutengwa kwa muda nakundi ilo mpaka atakapojirekebishaa.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania