Malkia elizabeth wa Pill mnamo mwaka huu 2014 tarehe 4 ya mwezi wa saba ataibatiza Meli kubwa iliyotengenezwa katika Taifa ilo la Uingereza jina la Malkia Elizabeth kama fahari na heshima ya Meli iyo.
Imeelezwa kwamba haijawahi tokea meli kubwa kama iyo toka Taifa ilo limeanzishwa.Sherehe za uzinduzi wa meli iyo kubwa zinatalaiwa kufanyika wakati kiongozi uyo wa serikali ya kifalme na Malkia wa Uingereza akiwa na umri wa Mika 87 alikaliliwa waziri wa ulinzi na usalama akisema jumamosi ya jana.Meli iyo ndefu na kubwa inatalajiwa kuingia katika maji kwa mala ya kwanza katika umbali usioozidi Mita 280 katika kimo
cha maji chenye urefu usiozid 920h.Watu zaid ya 7000 pamoja na wafanyakazi waliotengeneza Meli iyo wanatalajiwa kuudhulia katika uzinduzi wa Meli iyo kubwa na Ndefu.Kwa mujibu wa ratiba ya jaribio la meli iyo inatalijiwa kuwa 2017 ambappo lengo haswa la utengenezwaji wa meli iyo ni kwa shughuli maalum inayotaraiwa kufanyika mnamo mwaka 2020.Meli iyo sio tu imetengeneza heshima kwa Malkia Elizabeth wa Pili ila bali ni heshima kwa Taifa zima la Uingereza.


No comments:
Post a Comment