Habari Mpya :
Home » , , » UJUMBE TOKA (BASATA) NA (TBL) KUHUSU TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS 2014 NA MABADILIKO YALIYOFANYIKA

UJUMBE TOKA (BASATA) NA (TBL) KUHUSU TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS 2014 NA MABADILIKO YALIYOFANYIKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, February 22, 2014 | 7:08 AM


                                               GEORGE KAVISHE

Tuzo za kilimanjaro Music awards mwaka huu wa 2014 zinatalajiwa kufanyika Tarehe 3 mwezi wa Tano
katika ukumbi wa Mliman City Jijin Dar es salaam. Kurwijira Mereges toka chama cha sana cnhini Tanzania
(BASATA)katoa ushuhuda kwamba maandalizi ya Tukio ilo yameishaanza na kaongeza kwa kusema tuzo izo kwa mwaka huu zitakuwa na mabadiliko makubwa tofauti na miaka iliyopita.Akizid kueleza amesema mwaka huu tofauti na miaka mingine mpiga kura atawezza kumpigia kura msanii anayemtaka aingie katika kipengele cha ushidani kwa kutuma ujumbe mfupi wa SMS, barua pepe na kadharika.In additional Maregesi said ( the number of categories have been reduced to 36 from 37 of last year. The upcoming producer category has been scrapped. He said artists will compete in the 34 categories while the remaining two are reserved for hall of fame awards.).KTMA ni tuzio zinazotolewa na kuratibiwa na kampuni ya Bia (TBL)ikiwa chini ya usimamizi wake George Kavishe kasema lengo la TBL ni kuakikisha Tuzo izo zinakua na kuwa bora zaid.Ameeleza pia kwamba mabadiliko mabadiliko yote yanayofanyika ni kukuza tuzo izo kufikia ngazi za kimataifa na sio kuishia kujulikana ndani ya nchi tuu,alisema Kavishe.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania