Mfuko wa hifadhi wa (PSPF)umetamka kwamba apa karibuni utakuwa na semina mkoa wa Dar es salaam.
Semina iyo ambayo walengwa wake wakubwa watakuwa ni wasanii wa Tanzania wa muziki kwa ujumla na dhumuni la semina iyo litakuwa ni kutoa elimu kwa wasanii ya Haki miliki na umuhimu wake katika kulinda na kufaidika na kazi zao.Akizungumza Meneja mahusiano msaidizi wa Pspf ndugu Matilda Nyallu kasema lengo haswa la semina iyo ni kuwaelimisha wasanii wote kwa ujumla juu ya haki zao ambapo semina iyo imepewa jina (Amka music WorkShop)ambapo Mayor wa Ilala anatalajiwa kuwa mgeni rasmi katika semina iyo.


No comments:
Post a Comment