Nitakusubiri ni single mpya ya msanii wa miondoko ya RnB nchini Tanzania Juma au JUX.
  
  single iyo ambayo imeachiwa leo rasmi katika radio kongwe Tanzania 
CloudsFm katika kipindi cha 
@Xxl msanii jux ameeleza ukweli juu ya mlengwa wa nyimbo iyo kwamba ni mpenzi wake 
Jackline cliff ambae alipatwa na matatizo uko china
baada ya kukamatwa na dawa za kulevya.
 
 
 
No comments:
Post a Comment