Habari Mpya :

Habari mpya

Showing posts with label LOVESTORY. Show all posts
Showing posts with label LOVESTORY. Show all posts

(PENZI TAMU)PICHA ZA WANANDOA HASHIM NA WA MASHAUZ CLASSIC NA FATUMA FUNDIKIRA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, March 21, 2014 | 10:38 AM

Ni msanii Hashimu meneja wa band ya taarabu ya mashauzi classic pamoja na bibie Fatuma Fundikira ambao wameamua kuungana na kuwa kitu kimoja ni baada ya msanii Hashimu kuachana na mkewe Diana. Hapa ni picha za wanandoa hao wakiwa katika pozi tofauti.

✯VALENTIN'S DAY STORY NA AIRTEL✯ TAZAMA SMS WALIZOTUMA WASHINDAN KUWANIA SAMSUNG TAB

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, February 26, 2014 | 8:10 AM

1)✧Valentine day kwangu ilikuwa nzuri sana kwa sababu pia ni siku ambayo nimezaliwa,mwaka huu siku ya valentine day +Birthday nilipata nafasi ya kwenda kuenjoy kwenye boat ambayao iliandaliwa dinner nzuri.Nilifurah sana pia nawashukuru Airtel Tanzania kwa mpango mzima.#teamAirtel!!✧

2)Story: Hallow Am Salma And Myboyfriend Is Ommary .It was in the valentine day mi and my lovely boy friend sharing the lovely day together , in the morning i was at home in my room , then i heared that my young sister called me that there is a supprise just for me \r\n i was wake up faster and go out side to see wat was that \r\n hey i was suprised to see that box with the red roses but i wasnt hav an idea that my boy can send me a gift because we were in big conflict in last day \r\n i was happy and jumping like massai , hey when i open that box i saw a red gaun with red shoes iwas happiest girl on that day after five minutes my phone was ringing and it was him asking me for a date in second time i was agree \r\n whean that time arrive \r\ni was being ready so he was came and take me ah he was looking lovely because he was wearing white and red we were looking lovely \r\n we were arrived at 22:36:04 at his home \r\n hey whean i was outside his room was smell jasmine flower then he was open the dor for me owhh my he was change every thng not like before it was amaizing we was sharing some lovely ideas and he was suprise me by engagment ring i was happy then were having an ice sex it was fantastic day i never seen that it.\r\n i cant wait to meet tthe next valentine
Author: Salima Mohamed Hassan Salima

3)Story: nilienda job kama kawaida na baada ya kutoka cuz my gal yupo mbali mwanza na mm kwa muda huo nlikuwepo arusha hme nilibeba zawad kwa ajili ya mum,dad na wadogo zangu thn nikakaa na kumpigia simu my gal nkaongea naye thn nkachat nae na ilipofika saa 4 ya uck nikaingia skype nikawa na video conference na yy mpaka tukalala...nilienjoy a lot japo we are far...
Author: Joseph Rufinus :

4)of all the valentine days of my life this waz the most charitable one,,i went to visit the orphanage around my school and we brought them with alot of things which i and my friends had contributed,,we shared alot with them and we gave them hope words and prayed together with them on our deperture we all cried cympathetic tearz bcoz they wished us to stay longer!!thats how it went with me people!!
Author: asantael alice

BINGWA WA MCHEZO WA MIELEKA WWE @MIZ-ES ASIFIA NDOA (ILIKUWA BALAA)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, February 24, 2014 | 8:48 AM

Former WWE Champ The Miz tied the knot this week in the Bahamas ... marrying his longtime girlfriend/former Diva Maryse Ouellet -- and it sounds like the whole event was pretty baller.

TMZ Sports obtained photos of their nuptials -- which took place Thursday at the One and Only Ocean Club -- where they said "I Do" in a garden overlooking the ocean and filled with 12th century ruins.

We're told a private party was held for the newlyweds afterward at the Atlantis resort ... and they were surrounded by giant aquariums filled with sea life.

0222-miz-launch-01

PAUL OKOYE ASEMA"TUNGEFUNGA NDOA PAMOJA NA PETER TATIZO KABILA ZA WACHUMBA WETU TOFAUTI"

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, November 29, 2013 | 8:08 AM

Peter Okoye na Paul Okoye ni mapacha wanaotengeneza kundi la Psquare ambalo ni kundi linalofanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika na dunian.Peter Ambae ivyi karibun ameamua kufunga ndoa ya kimira na mama wa watoto wake wawili wa kiume Lola Omotayo ivyi karibun tarehe 17 november 2013.Wengi walitegemea kwa kuwa mapacha hawa hufanya kila kitu pamoja basi wangefunga wote ndoa na wanawake zao ila cha kushangaza Peter kaoa na kumuacha Paul bado.Baada ya kuulizwa Paul OKoye kwa nini yeye hajamuoa mama wa mwanae Anita Isima?amejibu kwamba Kama isingekuwa tofauti ya makabila ya wake zao basi yeye na Ndugu yake wangefunga ndoa pamoja.Amesema Anita ni Igbo na Lola ni Yoruba ambapo kwa upande wa kabila la Anita na mira zao Ndoa ya kimira inatakiwa ikafanyikie kwa mwanamke..Kwaiyo iyo ndo sababu kubwa ila isingekuwa ivyo tungefunga wote Ndoa ya pamojabya kimira.Alisema Paul.

COME BACK SO ME AND MOMMY CAN BE HAPPY-BARUA ALIYONDIKIWA TUPAC NA WILLOW SMITH

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, November 27, 2013 | 7:34 AM

BARUA HII ILIANDIKWA TUPAC NA WILLOW SMITH BAADA YA KUTAMBUA MAPENZI YALIYOKUWEPO KATI YA TUPAC NA MAMA YAKE. BARUA NDO HII HAPA. Dear Tupac I know you are live some place,i know that my mommy misses you so much. Can you please come back so me and my mommy ca be happy?,i wish u were here.. I real Do..smile face LOVE WILLOW

DAVINA ASEMA NDOA IMEMFUNZA MAMBO MENGI!!

                  Na Imelda Mtema
MSANII wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kujifunza mambo mengi ya maisha baada ya kuingia kwenye ndoa.Akizungumza na mwandishi wetu, Davina alisema kwamba anaichukulia ndoa yake kama chuo cha mafunzo kwa jinsi alivyobadilika na kuwa tofauti na Davina aliyekuwa nje ya ndoa.“Nimekuwa tofauti kabisa na Davina wa kabla ya ndoa, sasa hivi kila kitu nakifanya kwa ustaarabu kwa kuwa najiona nimekuwa mwenye majukumu mengi,” alisema.Akifafanua zaidi, Davina alisema zamani alikuwa ni mtu wa kurandaranda hovyo tofauti kabisa na hivi sasa.“Zamani nilikuwa napenda safari zisizokuwa na faida tofauti na sasa hivi, kweli nimeamini ndoa ni chuo cha mafunzo,” alisema huku akiwaombea wasanii wenzake walio nje ya ndoa wafunge ndoa na kuwa na familia zao kwani watajifunza mengi.

NEWS

Other related Articles »
 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania